David Morris Lee (amezaliwa 20 Januari 1931) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza elementi ya helium. Mwaka wa 1996, pamoja na Doug Osheroff na Robert Richardson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Lee (2007)
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Lee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.