Deborah Owusu-Bonsu

msomi, mtangazaji wa televisheni na mwanamitindo

Deborah Owusu-Bonsu[1] (alizaliwa 25 Agosti, 1984) anayejulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Sister Derby[2]ni Ghana mtangazaji wa televisheni, mwanamuziki na mwanamitindo mwenye asili ya Akan na mtangazaji wa zamani katika e.tv Ghana.[1]

Maisha ya awali na elimu hariri

Deborah Vanessa Owusu-Bonsu alizaliwa tarehe 25 Agosti 1984, kwa baba wa Ashanti na mama wa Kiromania. Wazazi wake wote wawili walikuwa wakusanyaji wa muziki na sanaa ya ulimwengu.Yeye ni mtangazaji wa kipindi cha televisheni, mwanamitindo, mwanamuziki, msomi na msanii wa picha [3].Owusu-Bonsu ni dada wa "hip life" mwanamuziki Wanlov the Kubolor ambaye aliigiza katika filamu Coz Ov Moni.Owusu-bonsu alihudhuria shule ya kimataifa ya "christ the king", kisha shule ya upili ya wasichana ya wesley.Owusu -bonsu alihitimu shahada ya kwanza katika masomo ya uchapishaji kutoka chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha kwame nkrumah na kufuatiwa na shahada ya uzamili katika uchapishaji wa vitabu/journal kutoka chuo kikuu cha sanaa london.

Marejeo hariri

  1. "Sister Derby, Biography". www.ghanaweb.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-02-26. Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  2. Mensah, Jeffrey (2019-10-11). "Meet Sister Derby and Wanlov's beautiful 65-year-old 'obroni' mother". Yen.com.gh - Ghana news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-09-25. 
  3. "Deborah Vanessa Owusu-Bonsu Uncovered!". atghana. 1 December 2011. Iliwekwa mnamo 26 February 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deborah Owusu-Bonsu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.