Declan Rice (alizaliwa 14 Januari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza, ambae anacheza kama kiungo mkabaji wa klabu ya Arsenal inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) na timu ya taifa ya Uingereza.

Declan Rice akichezea timu ya taifa Uingereza katika kombe la dunia la FIFA 2022

Marejeo hariri

  1. "Declan Rice Arsenal Midfielder, Profile & Stats | Premier League". www.premierleague.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-05-02. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Declan Rice kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.