Deepak Kamani ni mwana wa Chamanlal Kamani na ndugu wa Rashmi Chamanlal Kamani na Sudha Ruparell.

Deepak Kamani

Deepak Kamani anahusika katika biashara ya familia Kamani nchini Kenya ikiwemo kampuni ya Kamsons.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deepak Kamani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.