Diana King (amezaliwa tar. 8 Novemba 1970, mjini Spanish Town, Jamaika) ni mwimbaji wa muziki wa R&B, Dancehall na Pop kutoka nchini Jamaika. Diana alizaliwa kwa mama Muhindi na baba Mjamaika mweusi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diana King kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.