Diane Shima Rwigara ni mfanyabiashara na mhasibu wa Rwanda ambaye alishiriki kama mgombea huru katika uchaguzi wa urais wa Rwanda mwaka 2017.

Diane Rwigara mwaka 2018

Rwigara alishtakiwa tarehe 23 Septemba 2017, pamoja na mama yake na washitakiwa wengine wanne, kwa "kichocheo cha uasi" miongoni mwa mashtaka mengine,[1] lakini aliachiliwa huru pamoja na mama yake tarehe 6 Desemba 2018.[2][3]

Marejeo hariri

  1. https://www.amnesty.org/en/latest/news/2018/05/rwanda-fair-trial-must-be-guaranteed-for-former-presidential-hopeful/
  2. Diane Rwigara: Rwanda government critic acquitted (kwa en-GB), 2018-12-06, iliwekwa mnamo 2024-04-30 
  3. Press, The Associated (2018-12-06), "Rwandan Court Drops Charges Against High-Profile Opposition Figure", The New York Times (kwa en-US), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2024-04-30 
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diane Rwigara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.