Diogo Jota

Mchezaji wa mpira kutoka nchini Ureno akiichezea timu ya mpira ya Uingereza ijuliknayo kama Liverpool FC

Diogo José Teixeira da Silva, anajulikana kama Diogo Jota, alizaliwa 4 Desemba 1996 ni mchezaji wa soka wa Ureno ambaye anacheza katika klabu iiliyopo katika ligi kuu ya Uingereza iitwayo Wolverhampton Wanderers.

Picha ya Diogo Jota

Kazi ya klabu hariri

Atlético Madrid hariri

Mnamo 14 Machi 2016, Jota alikubali mkataba wa miaka mitano akiwa na klabuya Atletico Madrid .Mnamo 26 Agosti alirudi katika nchi yake na kujiunga na klabu ya FC Porto kwa mkopo wa mwaka mmoja. Mnamo 1 Oktoba alifunga goli la kwanza katika ushindi wa 4-0 dhidi ya C.D. Nacional.

Wolverhampton Wanderers hariri

Mnamo 25 Julai 2017, Jota alihamia katika klabu iiliyopo nchini Uingereza iitwayo Wolverhampton Wanderers kwa mkopo wa muda mrefu.Alifunga goli lake la kwanza 15 Agosti, ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Hull City.

Mnamo 30 Januari 2018, ilitangazwa kuwa katika mpango wa kudumu katika klabu ya Wolverhampton Wanderer. Alifunga magoli 17 bora katika mwaka wake wa kwanza.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diogo Jota kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.