Diyarbakır (Kiosmani Kituruki دیاربکر, Diyâr-ı Bekr; Kikurdi ئامه‌د, Amed; anc. Amida) ni mji mkubwa sana uliopo kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mji upo katika eneo la ukingo wa Mto Tigris, huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Diyarbakır wenye wakazi karibuni milioni 1.5[1]. Wenye lundiko la watu takriban 600,000[1], huu ni mji wa pili kwa ukubwa katika Uturuki ya Kusini-mashariki mwa mkoa wa Anatolia, baada ya Gaziantep.

Msikiti mkubwa wa Diyarbakır.

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-08-15. Iliwekwa mnamo 2009-05-22.

Viungo vya Nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Coordinates: 37°58′55″N 40°12′38″E / 37.9819°N 40.2106°E / 37.9819; 40.2106


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Diyarbakır kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.