Djelfa ni mji muhimu wa Algeria. Ndio wa tano nchini kwa wingi wa wakazi.

Mji wa Djelfa, Algeria
Mji wa Djelfa, Algeria

Hao walihesabiwa kuwa 289,226 mwaka 2008[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "The provinces of Algeria and all cities of over 25,000 inhabitants". Citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 2008-04-14. 
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Djelfa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.