Dunedin (Kimaori: Ōtepoti) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 116.600 (2010). Iko upande wa kusini wa kisiwa. Eneo lake ni 3,314 km². Mji ulinazishwa mwaka 1848. Upande wa mashariki ni maji ya Pasifiki.

Dunedin / Ōtepoti

Mji wa Dunedin (New Zealand)
Habari za kimsingi
Mkoa Otago
Anwani ya kijiografia Latitudo: 45°52′0″ - Longitudo: 170°30′0″E
Eneo 3,314 km²
Wakazi 116,600 (mji pekee)
124,800 (pamoja na rundiko)
Msongamano wa watu watu 37.7 (mji pekee) kwa km²
Simu +64 (nchi), 03 (mji)
Mahali

Viungo vya nje hariri



  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.