Dunstan Luka Kitandula

Dunstan Luka Kitandula ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mkinga kwa miaka 20152020. [1] Alikuwa mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini ndani ya bunge la Tanzania.

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017