ECOSOC ni kifupisho cha Economic and Social Council (of UN) yaani Baraza la Kijamii na la Kiuchumi (la Umoja wa Mataifa). Ilianzishwa mwaka 1945.

Ukumbi wa ECOSOC, New York.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu "ECOSOC" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.