Ecser ni kijiji katika mji wa Pest county, Hungaria, karibu kidogo na mji wa Budapest. Mji una wakazi wapatao 3,252 kwa sensa ya mwaka wa 2001.

Kanisa la Kikatoloki la Ecser
Makala hii kuhusu maeneo ya Hungaria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ecser kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.