Edward Channing (15 Juni 18567 Januari 1931) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1926, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa juzuu ya sita ya kitabu chake History of the United States ("Historia ya Marekani").

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Channing kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.