Efraimu (kwa Kiebrania אֶפְרַיִם/אֶפְרָיִם, Efráyim) alikuwa, kadiri ya Kitabu cha Mwanzo 41:50-52, mtoto wa pili wa Yosefu na Asenath, binti Potifera, kuhani wa On.

Yakobo akibariki Efraimu na Manase.

Efraimu alizaliwa nchini Misri kabla Yakobo Israeli na wanae hawajahamia huko kutoka Kanaani (Mwa 48:5).

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Efraimu (babu) kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.