Egoli Magic ni klabu ya mpira wa kikapu inayopatikana Johannesburg, Afrika Kusini. Timu hiyo ilianzishwa mwaka 1994, kwa sasa inashirika ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini.[1] Ni timu yenye mafanikio makubwa kwenye BNL, ikishinda ubigwa mara tano, mwaka 2015, 2016, 2019, 2020 na 2021.[2]

Mataji hariri

  • Mabingwa (5): 2015, 2016, 2019, 2020, 2021[3]

Marejeo hariri

  1. "Egoli Magic", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-12-22, iliwekwa mnamo 2022-09-02 
  2. "Egoli Produces Magic – Basketball National League" (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2022-09-02. 
  3. "Egoli Magic – Basketball National League" (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2022-09-02.