Ekwang

Ekpang Nkukwo ni mojawapo ya vyakula vya kitamu vya kitamaduni vya Efiks na Ibibios vya Nigeria. Imetengenezwa kutoka kwa magimbi iliyokunwa, viazi vikuu vya maji au ndizi ambayo haijaiva.

Ekwang (pia inajulikana kama "Ekpang Nkukwo", "Ekpang" na "Ekwang Coco") ni chakula cha kikameruni kwa watu wa Bakweri, Bafaw na Oroko .[1] [2] Imetengenezwa kwa cocoyams zilizosagwa ambazo zimefungwa kwa majani ya cocoyam.[3][4]  Viungo vingine nikama samaki wabichi au wakukaanga, nyama, mafuta ya mawese,  kamba na vikolezo.[5]

[6]Ekwang


Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ekwang kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.