Elías Díaz Peña

Mwanamazingira kutoka Paraguay

Elias Diaz Peña ni mwanamazingira kutoka Paraguay. Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 2000, kwa pamoja na Oscar Rivas, kwa jitihada zao za kulinda mazingira ya Mto Paraná na Mto Paraguay.[1]

Marejeo hariri

  1. "South & Central America 2000. Elias Diaz Peña & Oscar Rivas. Paraguay. Rivers & Dams". Goldman Environmental Prize. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Mei 2011. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elías Díaz Peña kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.