Eleonora Giorgi (mwanariadha)

Eleonora Anna Giorgi (alizaliwa 14 Septemba 1989) ni mwanariadha wa Italia na mshindi wa medali ya shaba katika michuano ya kidunia ya 2019.[1] Alishindana katika michezo ya Olimpiki ya majira ya joto ya 2020 akishiliki katika matembezi ya 20km.[2]

Giorgi mnamo 2015 huko Murcia
Giorgi mnamo 2015 huko Murcia

Yeye ndiye anayeshikilia rekodi ya dunia ya matembezi ya mbio za mita 5000 kwa muda wa seti 20:01.80 mnamo tarehe 18 Mei 2014 huko Misterbianco.[3]

Marejeo hariri

  1. Eleonora Bio.
  2. "Eleonora GIORGI". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-01. 
  3. Andrea Benatti (2014-05-18). "Eleonora Giorgi nella storia: record mondiale dei 5 km di marcia in pista". Queen Atletica (kwa it-IT). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-01. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.