Elias John Kwandikwa

Elias John Kwandikwa alikuwa mwanasiasa Mtanzania, mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Ushetu kwa miaka 20152020 [1] akarudishwa mwaka 2020 na kuteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi[2].

Alifariki dunia akiwa Dar es Salaam, katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili, tarehe 2 Agosti 2021. [3][4]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. "Magufuli’s unveils his cabinet 30 days after taking oath". The Citizen (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-11. Iliwekwa mnamo 2020-12-25.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. https://www.malunde.com/2021/08/Kwandikwa.html
  4. https://peoplepill.com/people/elias-kwandikwa/