Elija Godwin (alizaliwa 1 Julai 1999) ni mwanariadha wa Marekani ambaye ni mtaalamu wa mbio za mita 400.[1]

Marejeo hariri

  1. "Elija GODWIN | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.