Elin Lerum Boasson

Elin Lerum Boasson (alizaliwa tarehe 28 Mei 1978) ni mwanamazingira wa Norwei na alikuwa mwenyekiti wa Natur og Ungdom mwaka 2001 na 2002. [1] Alianza kazi katika shirika mnamo mwaka 1991, na akajiunga na bodi mnamo mwaka 1997 kabla ya kuchaguliwa kuwa naibu mwenyekiti mnamo mwaka 1999.[2]

Marejeo hariri

  1. Elin Lerum Boasson at University of Stavanger, translated to English, access date January 2010.
  2. "Jentekupp i Natur og Ungdom", NRK, 7 January 2001. Retrieved on 11 October 2013. (Norwegian) 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elin Lerum Boasson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.