Elwyn Brooks White

Elwyn Brooks White (11 Julai 18991 Oktoba 1985) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika insha kwa gazeti la The New Yorker. Mwaka wa 1978, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa miandiko yake kwa jumla.


Amezaliwa 11 Julai 1899
New York, Marekani
Amekufa 1 Oktoba 1985
Nchi Elwyn Brooks White
Kazi yake Mwandishi


Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elwyn Brooks White kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.