Emil Theodor Kocher

Emil Theodor Kocher (25 Agosti 184127 Julai 1917) alikuwa daktari mpasuaji kutoka nchi ya Uswisi. Alifanya na kuboresha pasuaji nyingi, hasa ya tezi dundumio. Mwaka wa 1909 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Emil Theodor Kocher

Viungo vya Nje hariri


  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emil Theodor Kocher kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.