Emilia wa Villeneuve

Emilia wa Villeneuve (kwa Kifaransa Émilie de Villeneuve; Toulouse, Haute-Garonne, Ufaransa, 9 Machi 1811Castres, Tarn, 2 Oktoba 1854) alikuwa mtawa Mfaransa aliyeanzisha shirika la Masista wa Bibi Yetu wa Kukingiwa Dhambi ya Asili wa Castres[1].

Mt. Emilia wa Villenueuve.

Alitangazwa mwenye heri na Papa Benedikto XVI tarehe 5 Julai 2009, halafu mtakatifu na Papa Pius XII tarehe 17 Mei 2015[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Oktoba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/95117
  2. "Consistory: three new canonisations approved". news.va. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-20. Iliwekwa mnamo 17 May 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.