Eneo bunge la Kinangop

(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Kinangop)


Eneo bunge la Kinangop ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matano katika Kaunti ya Nyandarua. Eneo bunge hili lina wadi tano, zote ambazo huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyandarua. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Halifai kutatanishwa na Eneo Bunge la Kinango lililo katika Wilaya ya Kwale.

Wabunge hariri

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Josiah Munyua Kimemia KANU Mfumo wa Chama kimoia.
1992 Mary Wanjiru Ford-Asili
1997 Mwangi K.Waithaka Ford-People
2002 Mwangi K.Waithaka NARC
2007 David Mwaniki Ngugi Sisi Kwa Sisi

Wadi hariri

 
North Kinangop
Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa
Engineer 16,060
Magumu 9,964
Njabini 12,358
North Kinangop 13,251
Nyakio 12,199
Jumla 63,832
Septemba 2005 | [2]

Marejeo hariri