Eneo Huru la Biashara Afrika

Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) ni makubaliano ya biashara huria ya Afrika kati ya nchi 54 wanachama wa Umoja wa Afrika (AU).[1] Mkataba huo ulitiwa saini mjini Kigali Machi 21, 2018.[2][3][4]

Tanbihi hariri

  1. Obonyo, Raphael (2021-12-03). "Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) kukuza sekta ya ubunifu, kutoa ajira kwa vijana" (kwa Kiswahili). Iliwekwa mnamo 2022-08-12. 
  2. Loes Witschge (March 20, 2018). "African Continental Free Trade Area: What you need to know". Al Jazeera (kwa Kiingereza).  Check date values in: |date= (help)
  3. "Africa Set to Agree $3 Trillion Trade Bloc, Without Key Economy", Bloomberg.com, 2018-03-21. (en) 
  4. "Forty-four countries sign historic African Union free trade agreement", Africanews. (en)