Eneo bunge la Githunguri
Eneo bunge la Githunguri ni moja ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo kumi na mawili ya Kaunti ya Kiambu. Eneo zima la jimbo hili liko chini ya Baraza la Kaunti.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia hariri
Jimbo hili lilianzishwa kwa Uchaguzi Mkuu wa 1963 wakati Kenya ilipata uhuru.
Wabunge hariri
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Waira Kamau | KANU | |
1969 | Arthur Kinyanjui Magugu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Arthur Kinyanjui Magugu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Arthur Kinyanjui Magugu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Arthur Kinyanjui Magugu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Arthur Kinyanjui Magugu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Josephat Karanja | KANU | Karanja aliaga wakati akihudumu |
1994 | Njehu Gatabaki | Ford-Asili | Uchaguzi Mdogo |
1997 | Njehu Gatabaki | Social Democratic Party | |
2002 | Arthur Kinyanjui Magugu | Kenya African National Union | |
2007 | Peter Njoroge Baiya | Safina |
Kata na Wodi hariri
Kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Githiga | 30,918 |
Githunguri | 35,365 |
Ikinu | 24,504 |
Komothai | 40,073 |
Ngewa | 24,031 |
Jumla | x |
*Hasabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Githiga | 13,407 |
Githunguri | 15,246 |
Ikinu | 12,292 |
Komothai | 19,375 |
Ngewa | 11,464 |
Jumla | 71,784 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia hariri
Marejeo hariri
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Githunguri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |