Ernst Haeckel

Mwanabiolojia wa Ujerumani, mwanasayansi wa asili, mwanafalsafa, daktari, na msanii (1834-1919)

Heinrich Philipp August Haeckel (Potsdam, 16 Februari 1834 - Jena, 9 Agosti 1919) alikuwa mtaalamu wa biolojia na falsafa kutoka nchini Ujerumani.

Ernst Haeckel.

Utaalamu wake ulikuwa hasa katika zuolojia akakusanya, kueleza na kuzipa majina spishi elfu kadhaa za wanyama. Alijishughulisha na kazi za Charles Darwin, alitumia wakati mwingi kutangaza katika Ujerumani matokeo ya kazi ya Darwin.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernst Haeckel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.