Esthete (kutoka neno la Kigiriki αἰσθητικός. aisthetikos, yaani "kinachohisika", kutokana na kitenzi αἰσθάνομαι, aisthanomai, yaani "nahisi"; kwa Kiingereza "aesthetics" ) ni tawi la falsafa linalochunguza umbile na asili ya usanii, uzuri, na ladha katika uasilia na kazi za utamaduni wa binadamu.

Mara nyingi upinde wa mvua unasababishia hisia.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Esthete kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo hariri

External links hariri