Eujeni wa Ardstraw

Eujeni wa Ardstraw (jina la Kieire: Eogan; pia: Eoghan, Owen; Leinster, Ireland, karne ya 6 - Ireland Kaskazini, 618 hivi) alikuwa mtumwa, halafu mmonaki, mwanzilishi wa monasteri na hatimaye askofu wa kwanza wa Ardstraw[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Agosti[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.