Eukari wa Trier (alifariki Trier, leo nchini Ujerumani, 250 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo[1][2][3].

Makaburi ya Eukari na Valeri mjini Trier.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 8 Desemba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Meier, Gabriel. "St. Eucharius", in Charles Herbermann (ed.) (1909). The Catholic Encyclopedia, Volume 5. New York: Robert Appleton Company.
  2. Saint Eucharius”. New Catholic Dictionary. CatholicSaints.Info. 8 December 2012
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/80770
  4. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.