Eulampi na Eulampia

Eulampi na Eulampia (waliuawa Nikomedia, leo nchini Uturuki, 310 hivi) walikuwa kaka na dada wa mji huo waliofia dini ya Kikristo katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano [1].

Mchoro mdogo wa kifodini chao.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 10 Oktoba.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93017
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.