Josh001.jpg(piseli 600 × 450, saizi ya faili: 63 KB, aina ya MIME: image/jpeg)

Mimi Naitwa Joshua Michael Njogolo, Ni kijana wa Kitanzania ninayesoma Marekani, Nilijua kuwa Hakuna Njia nyingine isipokuwa kuwaza mbadala na kuweka mambo yote katika mipango sawa. Nilibahatika kuja kusoma hapa marekani kwa sababu  ya kuwa mtafiti katika mambo mambalimbali toka katika siasa, uchumi, ulimwengu, kijamii na kupenda kusaidia watu wengine. Nimepata nafasi hii kupitia Internet na hakuna mkono wa serikali ya Tanzania niliyotoa pesa kuja kusoma huko, kwanza natoka katika fsmilia ya kimaskini kabisa Tanznaia. hivyo nilikuwa ni ndoto kuwa sana katika kuja kusoma katika chuo ambacho ni sawa na Bajeti yetu huko kwa wanafunzi kama 15 hivi katika chuo cha Dar. Hivyo baada ya serikali kukutaa kutoa mikopo mwaka jana, niliona kuwa hakuna njia nyingine bali ni kuomba mungu na kuona kuwa mimi nakwenda shule. Ninasoma Uchumi, Kwanini?? kwa sababu ya Naona kuwa Nchi yangu na Taifa langu lina rasimali nyingi sana na hivyo watu au serikali inashindwa kupanga jinsi ya kufanya na ili ziweze kuwasidia watu. Then baada ya kuona mtu makini sana akichambua masuala ya Kiuchumi toka Tanzania ambaye ni Professor Haruna Lipumba. Hivyo siku Moja nitakuwa Professor kama yeye. tena naona kuwa uchumi unahusu kila mtu katika jamii. kama wewe unataka kwenda kununua hata mafuta ya taa lazima ufanye hesabu za kiuchumi na kuweza kupanga na kuchagua. Hivyo ni nafasi nzuri kwangu kuweza kuona kuwa Vijana wengi wa Kitanzania waache kutegemea Serikali na kuweza kuweka katika mawazo katika Ahadi hewa za Serikali. lazima Tuwaze mbadala na kutenda mbadala hivyo itakuwa nafasi kwenu kuiga hata kupigania Ahadi na Ndoto yako katika Maisha. nilikuwa na Ndoto hii kipndi cha miaka 10 hivi nimepita.nilifanya kila niwezalo na hata kuwaza na kuomba sana. Hivyo kama vile mungu amejibu maombi yangu.

Historia ya faili

Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.

Tarehe/SaaPicha ndogoVipimoMtumiajiMaelezo
sasa hivi22:57, 15 Septemba 2007Picha ndogo ya toleo la 22:57, 15 Septemba 2007600 × 450 (63 KB)Joshua Michael Njogolo (majadiliano | michango) Mimi Naitwa Joshua Michael Njogolo, Ni kijana wa Kitanzania ninayesoma Marekani, Nilijua kuwa Hakuna Njia nyingine isipokuwa kuwaza mbadala na kuweka mambo yote katika mipango sawa. Nilibahatika kuja kusoma hapa marekani kwa sababu ya kuwa mtafiti katik

Hakuna kurasa zozote zinazotumia faili hii.