Fantino Mzee (Palmi, Calabria, 293 - Palmi, 336) alikuwa Mkristo wa Italia Kusini maarufu kwa miujiza yake [1].

Picha takatifu ya Wat. Elia na Filarete.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu]], wa kwanza kutoka mkoa wake.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Julai[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/64120
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Antonio Scordino, La chiesa veneziana di San Fantino il Calabrese, in Brutium, anno LXX, n. 1-2, 1991, pp. 10-11. (Kiitalia)
  • Pietro vescovo occidentale, La vita e i miracoli del santo e glorioso servo di Cristo, Fantino, a cura di Domenico Minuto, Reggio Calabria, Pontari, 2003, ISBN 88-86046-19-7. (Kiitalia)
  • Felice Costabile, Il ninfeo romano ed il complesso monastico di S. Fantino a Taurianum, in Klearchos, n. 18, 1976, pp. 83-119. (Kiitalia)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.