Felisi na Adauti (walifariki Roma, Italia, 304) ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano.

Walivyochorwa kandokando ya Bikira Maria katika handaki walimouawa.

Kadiri ya shairi lililotungwa na Papa Damas I juu yao walikuwa ndugu[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 30 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.