Felisita wa Roma (101 hivi - 165 hivi) alikuwa mwanamke wa Roma ya Kale anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mwenye sifa ya mfiadini[1].

Mt. Felisita na vichwa vya wanae saba, Nuremberg Chronicle, 1493.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.