Fenerbahçe S.K. (mpira wa miguu)

Fenerbahçe Spor Kulübü (Fenerbahçe Sports Club) ni klabu ya mpira wa miguu ya Uturuki yenye makao yake mjini Istanbul, Uturuki. Idara hii inayoshughulika na mpira wa miguu ya wanaume ya Fenerbahçe S.K.[2][3]

Uwanja wa Fenerbache [1]

Fenerbahçe, inayojulikana kwa jina lingine kama Fener, ni mojawapo ya timu za mpira wa miguu zilizofanikiwa na kuungwa mkono vyema zaidi nchini Uturuki, ambazo hazijawahi kushushwa daraja,[4][5] na kwa sasa zinashiriki Ligi ya Uturuki, Kombe la Uturuki, Kombe la Super Cup la Uturuki na UEFA Europa Conference League.[6]

Fenerbache ilianzishwa mnamo 3 Mei 1907, Tangu kipindi hicho imefanikiwa kutwaa ubingwa mara 28 kwenye Ligi ya Uturuki, Vikombe 7 vya Uturuki na vikombe 9 Super Cup ya Uturuki,[7][8]

Marejeo hariri

  1. "İşte Türkiye'nin taraftar haritası! En çok taraftarı olan takım hangisi?". aksam.com.tr (kwa Kituruki). Akşam. Iliwekwa mnamo 7 June 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Tarihçe". KKTC FENERBAHÇELİLER DERNEĞİ (kwa Kituruki). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-17. Iliwekwa mnamo 2021-08-17.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. "Fenerbahçe taraftarı derneğini bağrına bastı". haberkibris.com (kwa Turkish). HaberKıbrıs. 14 August 2012. Iliwekwa mnamo 14 December 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Samanyolu Haber: Son Dakika ve En Son Haberler". www.samanyoluhaber.com. 
  5. "Samanyolu Haber: Son Dakika ve En Son Haberler". www.samanyoluhaber.com. Iliwekwa mnamo 21 October 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Biga Fenerbahçeliler Derneğinden Azerbaycan'a Destek". bigahavadis.com (kwa Kituruki). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-17. Iliwekwa mnamo 2021-08-17.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  7. "Fenerbahçe Tarihi" [History of Fenerbahçe] (kwa Kituruki). Fenerbahçe S.K. Iliwekwa mnamo 2 July 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  8. "Atatürk ve Fenerbahçe" [Atatürk and Fenerbahçe] (kwa Kituruki). Fenerbahçe S.K. Iliwekwa mnamo 2 July 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Fenerbahçe S.K. (mpira wa miguu) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.