Fereoli wa Grenoble

Fereoli wa Grenoble (pia: Ferjus; alifariki 660 hivi[1][2][3]) alikuwa askofu wa mji huo katika Burgundy, leo nchini Ufaransa, ambaye aliuawa huko kwa kupigwa kwa marungu akiwa anahubiria watu. Wakati huo hata maaskofu wengine waliompinga mfalme Klotari III waliuawa.

Sanamu yake iliyochongwa na Paul Virieu.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Januari.[4]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Jean-Joseph-Antoine Pilot Thorey,History of Grenoble and surrounding area from its foundation as the Cularo until today (Baratier brothers, 1829) page 304.
  2. Albert DU BOYS, Life of Saint Hughes, (notice chronologique sur les évêques de Grenoble (1837). p333.
  3. Bernard Bligny (dir.), Le diocèse de Grenoble, Beauchesne, Paris, 1979.
  4. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.