Filbert Bayi (alizaliwa 23 Juni 1953) ni mwanariadha kutoka nchi ya Tanzania aliyehudhuria Michezo ya Olimpiki mwaka wa 1980 kule Urusi upande wa mbio za masafa marefu ya kati na kushinda nishani ya fedha katika mbio ya mita 3000.

Filbert Bayi
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaTanzania Hariri
Jina halisiFilbert Hariri
Jina la familiaBayi Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa23 Juni 1953 Hariri
Mahali alipozaliwaKaratu Hariri
Lugha ya asiliKiswahili Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza, Kiswahili Hariri
Kazimiddle-distance runner, athletics competitor Hariri
MchezoRiadha Hariri
Sports discipline competed inmiddle-distance running Hariri
Ameshiriki1980 Summer Olympics Hariri

Mwaka wa 1974 alikuwa ameboresha rekodi ya mbio ya mita 1500, na mwaka wa 1975 aliboresha rekodi ya mbio ya maili moja.

Bayi ni mwanamichezo aliyejenga jina la taifa lake Tanzania kwa heshima ya michezo. Ni kwamba mara baada ya uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 karibu michezo yote ilipewa umuhimu na kuvutia wote, watazamaji na wachezaji.