Frederick Sanger (amezaliwa 13 Agosti 1918) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli mbalimbali. Alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mara mbili, mwaka wa 1958 peke yake, na mwaka wa 1980 pamoja na Paul Berg na Walter Gilbert.

Frederick Sanger
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frederick Sanger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.