Fredrik Bajer (21 Aprili 183722 Januari 1922) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Denmark. Mwaka wa 1908, pamoja na Klas Pontus Arnoldson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Fredrik Bajer alishinda Tuzo ya Nobeli mwaka 1908
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fredrik Bajer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.