Gabriel Costa Heredia

Gabriel Costa Heredia (alizaliwa 2 Aprili 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza katika klabu ya Colo-Colo na timu ya taifa ya Peru. Ni mzaliwa wa Uruguay na anacheza kama mshambuliaji.

Huyu ni Gabriel Costa

Kazi ya kimataifa hariri

Ni mzaliwa wa Uruguay alizaliwa huko na baadaye kwenda Peru pamoja na wazazi wake na kupata pasipoti ya Peru. Alijadiliwa sana katika timu ya taifa kuhusu kuichezea Peru.

Costa alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Peru na kupoteza kwa kufungwa goli 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Ecuador 6 Septemba 2019.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriel Costa Heredia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.