Gabrieli wa Bikira Maria wa Mateso

Gabrieli wa Bikira Maria wa Mateso, C.P. (jina la kuzaliwa: Francesco Possenti; Assisi, Umbria, Italia, 1 Machi 1838Isola del Gran Sasso, Abruzzo, Italia, 27 Februari 1862) alikuwa kijana aliyependa starehe lakini aliacha yote akawa frateri Mpasionisti ila alifariki mapema kwa kifua kikuu akiwa akoliti tu, kabla hajafikia upadri[1].

Mt. Gabrieli akiwa amevaa kanzu ya shirika lake. Mchoro kwenye ukumbi wa parokia ya Fiè allo Sciliar.

Papa Pius X alimtangaza mwenye heri tarehe 31 Mei 1908, na Papa Benedikto XV alimtangaza mtakatifu tarehe 13 Mei 1920.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.