Ganjoni ni mtaa wa Mombasa; pamoja na Majengo na Shimanzi ni kata ya kaunti ya Mombasa, eneo bunge la Mvita nchini Kenya[1].

Ganjoni
Nchi Kenya
Kaunti Mombasa

Tanbihi hariri