Gary Alexander Goldstone (alizaliwa 24 Julai 1976 Durban), ni beki wa soka wa Afrika Kusini anaecheza klabu ya Bloemfontein Celtic katika ligi ya Premier Soccer League.[1]

Marejeo hariri

  1. "Gary Goldstone". ABSA Premiership. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 October 2011. Iliwekwa mnamo 2010-04-07.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gary Goldstone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.