Gebardi (kwa Kijerumani: Gebhard; Austria[1] , 949 - Uswisi, 995) alikuwa askofu wa Konstanz (leo nchini Ujerumani) kuanzia mwaka 979 hadi kifo chake.

Sanamu ya Mt. Gebardi.

Alifariki katika monasteri ya Kibenedikto aliyoianzisha huko Petershausen [2]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3]. Mwaka 1134 askofu Hulrich II alithibitisha heshima hiyo.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Agosti[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.