Gelai ni mlima wa volkeno katika mkoa wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania.

Urefu wake ni mita 2,942 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri