George Cain (27 Oktoba 194323 Oktoba 2010) alikuwa mwandishi kutoka nchini Marekani. Alikuwa pia Mmarekani mweusi. Anajulikana hasa kwa riwaya yake ya Blueschild Baby.

George Cain


Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Cain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.