Gerard Sekoto (alizaliwa mnamo tarehe 9 Disemba 1913 - 20 Machi 1993,alikua Msanii na Mwanamuziki wa Afrika Kusini.Alitambuliwa Kama mwanzilishi wa Sanaa nyeusi na uhalisia wa kijamii.Kazi yake ilioneshwa Paris, Stockholm, Venice, Washington, na Senegal pia Afrika Kusini.

Picha ya Mama Na Mtoto Gerard Sekoto
Picha ya Mama Na Mtoto Gerard Sekoto

Maisha ya Awali hariri

Sekoto alizaliwa mnamo tarehe 9 Disemba 1913 katika Misheni ya Kilutheri huko Botshabelo karibu na Middelburg[1].Alikua Mtoto wa kiume wa Andeas Sekoto, mshiriki wa waongofi wapya wa Kikristo.Sokote alisoma shule ya Wonderhoek aliyoanzishwa na baba yake.[2]

Marejeo hariri

  1. John Peffer, Art and the End of Apartheid, University of Virginia Press, 1991, p. 2.
  2. "South African artist Gerard Sekoto is born | South African History Online". www.sahistory.org.za. Iliwekwa mnamo 2019-11-20.